Thursday, September 29, 2011

KAMPENI ZA CCM IGUNGA

 Waziri wa Ujenzi John Magufuli akisalimia mamia ya wananchi waliofika kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga.
 Mratibu wa Kampeni za CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba akimlaki Januari Makamba.
Magufuli akihutubia wananchi
 Magufuli akiteta na mgombea ubunge wa Igunga-CCM
 Wananchi wakimsikiliza January Makamba

Thursday, September 22, 2011

ADB YATILIANA SAINI NA SERIKALI YA TANZANIA KUSAIDIA SEKTA ZA ELIMU NA KILIMO

 Waziri wa Fedha akiuzungumza na wanahabari
 Waziri na mwakilishi wa ADB wakibadilishana mkataba