Thursday, September 29, 2011

KAMPENI ZA CCM IGUNGA

 Waziri wa Ujenzi John Magufuli akisalimia mamia ya wananchi waliofika kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Igunga.
 Mratibu wa Kampeni za CCM, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwigulu Nchemba akimlaki Januari Makamba.
Magufuli akihutubia wananchi
 Magufuli akiteta na mgombea ubunge wa Igunga-CCM
 Wananchi wakimsikiliza January Makamba

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.